Weusi chini ya macho/dark circles inaweza kumu-affect mtu yoyote..na kati ya sababu ya kutokewa hii ni stress, kukosa usingizi, hormonal changes, lifestyle yako haijatulia nk. Lakini kama usipotibu mapema inaweza kuharibu muonekano wako na hata kuleta serious health issues/kukudhuru kiafya.
Kuna a lot of chemical products ambazo watu hutumia kuondoa weusi chini ya macho lakini nyingi huwa si salama..so nmewaletea njia rahisi na asili ambazo waweza kutumia kuondoa weusi chini ya macho.
1.Tomatoes/Nyanya.
Tumia nyanya kuondoa weusi chini ya macho. Juice ya nyanya itakusaidia kuondoa weusi na hata kuifanya ngozi yako laini. All you need ni juice ya nyanya changanya na juice ja ndimu kijiko 1 cha chai both, paka chini ya macho, acha ikae kwa dakika 10 then nawa. Fanya hivi twice a day.
Unaweza pia ukanywa juice ya nyanya iliyochanganywa na ndimu na mint leaves.
2.Grated potatoes/Viazi vilivyosagwa.
Chukua kiazi kibichi, saga ili upate juice yake. Chukua cotton ball/pamba na udumbukize kwenye juice hiyo then paka chini ya macho na hata kuzunguka macho yote. Kaa kwa dakika 10 then nawa kwa maji ya baridi.
3.Cold tea bags.
Chukua tea bags, either za green tea au chamomile na uweke kwenye maji then weka kwenye fridge kwa muda. Toa then weka over your eyes, unaweza kukaa nayo as long as you want, na unaweza kutumia kila siku.
4.Cold milk/maziwa ya baridi.
Chukua pamba na udumbukize kwenye bakuli lenye maziwa ya bardi kwa muda, kisha paka sehemu yenye weusi au paka sehemu yote inayozunguka jicho. Ikikauka nawa kwa maji ya kawaida..fanyas hivi kila siku.
5.Orange juice/Juice ya chungwa.
Changanya juice ya chungwa na glycerine, kisha paka chini ya macho kwenye huo weusi. Nawa kwa maji ya kawaida.
6.Yoga/Meditation.
Pia kufanya yoga au ku-meditate itakusaidia kurelax na kuondoa stress, na hii itaondoa weusi chini ya macho yako. Ni vizuri kama utafanya yoga/meditation huku unatumia moja ya njia hapo juu ili kupata results haraka.
Post a Comment