YESU NIPE NYONYO YAPIGWA STOP KENYA

Gazeti la Kenya liitwalo taifa le
limeripoti kwamba bodi ya filam
kwenye nchi hiyo imehuzunishwa n
Msanii wa muziki wa Injili SB
kuimba wimbo wa Injili amba
unadhalilisha Imani.
Wimbo wenyewe unaitwa ‘Yesu nip
nyonyo‘ ambapo mkuu wa bodi hiy
Ezekiel Mutua alisema baadhi y
Waimbaji wa Kenya wamekos
maadili na kipaji cha kubuni a
kutunga nyimbo nzuri zisizochafu
hali ya hewa.
Alisema wimbo huo unaendele
kukaguliwa kwa sababu Wakeny
wamekasirishwa: "Nashangaa san
mtu mzima anakaa chini na kuimb
wimbo kama huu, Wasanii wetu wameju
kuwa kama hawaongei uchafu am
kutoa video za utata hawatasikilizw
wala kutazamwa na wanafanya hivyo i
wapate umaarufu”
Tayari bodi hiyo ilikua kweny
mipango ya kuwaandikia Youtub
ambao ndio wanamiliki wa mtanda
huo ili waiondoe hiyo vide
kwasababu bodi hiyo inayo mamlak
na katiba haitakubali Wasanii kutung
nyimbo za kudhalilisha imani.
Mpaka sasa wimbo huo bado up
kwenye mtandao na umeshatazamw
mara 93,812 mpaka sasa.

Post a Comment

[blogger]

Author Name

{picture#YOUR_PROFILE_PICTURE_URL} YOUR_PROFILE_DESCRIPTION {facebook#https://fb.com/} {twitter#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {google#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL}

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.