Mkuu wa wilaya ya Songea Pololeti mgema akionyesha moja ya sehemu ambayo moto bado unawaka.
Hivi ndivyo hali halisi ya ofisi ilivyoungua kwa ndani
Nyaraka za serikali ya kijiji cha Mtyangimbole zikiwa zimeteketea kwa moto na kubaki majivu
Mkuu wa wilaya ya Songea Pololeti Mgemaakizungumza na wakazi wa kijiji cha Mtyangimbole baada ya zoezi la kuzima moto kumalizika. Kwa undani wa habari hii angalia hiyo video.
(Habari na RUVUMA TV)
Post a Comment