Mwanadada ambaye ni shemeji Wa ezekiel,ameonekana kuwa nafuraha ya ajabu Siku ya Leo hii baada ya kuzima mishumaa kadhaa
"NIMEKUWA NIKIPOKEA SIMU NYINGI ZA KUNITAKIA HAPPY BIRTHDAY, moja wapo ni Dada yang JACKLINE ambaye kanipa zawadi,mwingine ni Raphael,lulu na wengne weng"alisema
NYALUSI BLOG ilipo mhoji kuhusu umri hakuwa na majibu ya moja kwa moja ila alisema anamshukuru mungu kumvusha Mwaka.
Post a Comment