Harnaam Kaur amekuwa na ugonjwa wa ajabu ujulikanao kwa jina la kitaalam polycystic ovarian syndrome.Umepelekea kuota vinyweleo vikubwa sehemu ya mwili tofauti na wanawake wengi.Toka amejitambua hata pata mwili mwingine si muoga tena kutembea mbele za watu nakujivunia uzuri wake.
Post a Comment