Nyalusiblog
‘Mimi nilikuwa sionekani shule hata mwezi na Form Four mimi sikufanya mitihani mitatu na ndio maana nilipopata matokeo yangu kuwa nimepata ziro wala sikushangaa pia familia yangu haikushtuka, yaani mimi nilikuwa nina akili zangu za kuzaliwa na mimi kupata ziro sio kama nimefeli maisha‘ ni maneno ya Nuh Mziwanda.
Baada ya kuulizwa kuhusiana na historia ya elimu yake ya kidato cha nne, Nuh Mziwanda amekubali kuwa matokeo yake ya kidato cha nne alipata ziro
Post a Comment